Habari,jina langu Vincent nimekuwa nikifanya kka t
Habari,jina langu Vincent nimekuwa nikifanya kazi katika tasnia ya usafi kwa miaka 3.Nimekuwa nikifanya kazi katika nyumba za kibinafsi, ofisi na hoteli. Nikipata uzoefu katika maeneo yote pia ni mchapa kazi ni muangalifu inazingatia mambo mengi, lakini ninanguvu na nina kasi. Ninapatikana kwa ajili ya usafi mara kwa mara na kwa kawaida, asubuhi na alasiri kulingana nahitaji yako. Ikihitajika. Napatikana pia kwa ajili ya kupiga pasi na kupanga makabati ya viatu, au maeneo mengine ya nyumba. Tafadhali usisite kuwasiliana nami kwa maelezo zaidi asante
Servizi proposti
Pulizie regolari
Le recensioni di Vincent
Vincent al momento non ha recensioni
Indirizzo completo
L'indirizzo sarà comunicato una volta confermata la prenotazione
Continuando a navigare in questo sito, accetti l'uso dei cookies al fine di produrre statistiche di audience e di offrirti servizi e prodotti adatti ai tuoi centri di interesse. Per saperne di più